Johari: Wasanii wadogo kazeni buti

MWIGIZAJI wa filamu, Blandina Chagula, ‘Johari’ amewataka wasanii wachanga kujituma kutimiza ndoto zao.

Akizungumza na HabariLeo jijini Dar es Salaam, Johari amesema walipita kwenye vikundi wakafundishwa jinsi ya kujituma.

“Nilikaa miaka mingi kaole nikifanya mazoezi na kurudi nyumbani bila kuonekana kwenye tv lakini wasanii wasasa kufanya mazoezi hawataki wakifanya mwezi mmoja Analalamika wakati sisi tulikaa miaka ndo tukaja kuonekana.”amesema Johari

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button