Kajala: Kweli Harmonize alimsaidia baba

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Frida Masanja, ‘Kajala’ amekiri kuwa msanii Rajab Abdul, ‘Harmoneze’ aliwai kumsaidia baba yeke mzazi.

Akijibu maswali ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kajala amesema kuwa nikweli alishawai kumsidia.

Kuhusu kuondoka kwa msanii Angella katika Lebo ya Konde boy amesema kuwa” Nilikuwa namtetea Anjella asipokonywe gari kwa kuwa anaumwa nimeshangaa kuona ananizungumzia vibaya.

“amesema Kajala

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button