Kajula: AFL imeleta fursa Tanzania

DSM: OFISA Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Imani Kajula  amesema uwepo wa michuano ya African football League (AFL) una manufaa makubwa kwa taifa kutokana  na fursa mbalimbali zitazopatikana kupitia michuano hiyo.

Kajula amesema Tanzania inapaswa kujivunia kuwa  mwenyeji wa uzinduzi wa AFL.

“Licha ya kwamba ni tukio la siku moja, ila lina faida kubwa sana, kuna watu watatoka maeneo mbalimbali, kuna watakaotoka mikoani kwahiyo hiyo itakuwa pia fursa kwa wanaotaka kusafirisha mashabiki kuja Dar es salaam”amesema Kajula

Ameyasema hayo leo Oktoba 11, 2023 Dar es salaam alipokuwa akizungumzia maandalizi ya Simba kuelekea katika uzinduzi wa michuano hiyo mipya ya soka Afrika ambayo itazinduliwa  Oktoba 20, 2023 Simba ikivaana na Mabingwa wa Afrika Al Ahly ya Misri.

 

 

 

 

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
ARTIFICIAL MOUTH
ARTIFICIAL MOUTH
1 month ago

Utaongea mwenyewe kuwa KAFA LAKINI ALIJENGA GOROFA MTAA WA SABA HISTORIA YAKE TAYARI IMEANDIKWA 2023..
file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg
MAANA YAKE KUFA KWA NGOMA AU MUUWAJI ANA MAANA/NGUVU/MAONO KULIKO RAIS TUSHIRIKISHE HISTORIA YAKO TAFADHARI!!!!!!!!?

Nancynglin
Nancynglin
Reply to  ARTIFICIAL MOUTH
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Nancynglin
ARTIFICIAL MOUTH
ARTIFICIAL MOUTH
1 month ago

Utaongea mwenyewe kuwa KAFA LAKINI ALIJENGA GOROFA MTAA WA SABA HISTORIA YAKE TAYARI IMEANDIKWA 2023..
file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg
MAANA YAKE KUFA KWA NGOMA AU MUUWAJI ANA MAANA/NGUVU/MAONO KULIKO RAIS TUSHIRIKISHE HISTORIA YAKO TAFADHARI!!!!!!!!?.

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x