Kaspar Mmuya apeta CCM ubunge Ruangwa

DODOMA — Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Naibu Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu, Kaspar Kaspar Mmuya kugombea kiti cha Ubunge kwa Jimbo la Ruangwa katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Mmuya alikuwa akiwania uteuzi huo pamoja na wanaccm wengine watatu, Bakari Kampenya Kalembo, Phillip Undile Makota, na Fikiri Boniface Liganga.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button