Katibu Mkuu UVCCM ziarani Zanzibar

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana  wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Fakii Lulandala amewasili visiwani Zanzibar na kupokelewa na wana CCM ikiwa ni mara yake ya kwanza toka alipoteuliwa na Kamati Kuu ya chama hicho kushika nafasi hiyo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button