Kazi zenye staha zajadiliwa Morogoro

WAKATI sekta ya sanaa na ubunifu ikiendelea kukua kwa kasi na kutoa ajira kwa maelfu ya vijana nchini, wadau wameonya kuwa bila kuwepo kwa kazi zenye staha, mchango wake katika kukuza uchumi wa Taifa unaweza kubaki kwenye takwimu zisizogusa maisha halisi ya wasanii.

Kauli hiyo imetolewa katika warsha ya siku tatu ya kusambaza matokeo ya utafiti kuhusu uendelezaji wa kazi zenye staha katika sekta ya utamaduni na uchumi wa ubunifu nchini Tanzania. Warsha hiyo imeandaliwa na Shirika la Kazi Duniani kwa ufadhili wa Norway.

Utafiti uliowasilishwa umebainisha kuwa licha ya sekta ya utamaduni na ubunifu kuongeza mchango wake katika pato la Taifa na ajira kwa vijana, ukuaji huo haujaambatana na ulinzi wa kijamii, mikataba rasmi wala mazingira salama ya kazi kwa wasanii wengi.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Taasisi ya SEDEVA, Izack Abeneko, amesema pamoja na sekta hiyo kuwa chanzo kikubwa cha kipato na ajira hasa kwa vijana, bado kuna haja ya kuweka mifumo madhubuti ya kulinda haki za wasanii na kurasimisha shughuli zao.

“Mazingira ya kazi ya wasanii wengi bado si rasmi. Ni kazi za msimu au za hapa na pale; msanii hawezi kujua ni lini atapata kazi nyingine. Serikali inapaswa kuimarisha utekelezaji wa sheria zilizopo ili zilete matokeo chanya kwa wadau wa sanaa na kumpunguzia mzigo msanii huku akielewa thamani ya kulinda haki zake,” amesema Abeneko.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa, Mrisho Mrisho, amesema warsha hiyo imeibua maeneo matatu muhimu yanayohitaji kupewa kipaumbele. “Kwanza ni suala la kazi zenye staha katika sekta ya sanaa, pili ni mfumo wa kisheria na sera, na tatu ni mapato ya wasanii. Tunahitaji kuona namna bora ya kurasimisha sekta katika maeneo hayo,” amesema.

Naye Mkurugenzi wa Afya na Usalama Mahali pa Kazi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania, Dk. Kassim Kapalata, amesisitiza umuhimu wa wasanii kujiunga na vyama vya wafanyakazi ili kulinda maslahi yao. SOMA: ZMBF Yapongeza Sanaa na Ubunifu Sharjah

Wadau wamehitimisha kuwa utekelezaji wa mapendekezo ya utafiti huo utakuwa hatua muhimu katika kuhakikisha sekta ya sanaa na utamaduni inachangia kwa tija zaidi uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

Habari Zifananazo

8 Comments

  1. **TANGAZO LA AJIRA**

    **NAFASI: MHARIRI WA KITABU**

    Kampuni ya WAJA iliyopo Buza, Jijini Dar es Salaam, inatangaza nafasi ya kazi ya **Mhariri wa Kitabu** chenye kichwa cha habari:

    *“Utajiri Hupambaniwa Lakini Umasikini Hupewa Bure hapa Duniani – Utawezaje Kuondoa Umasikini wa Watu Milioni 60 kwa Saa 1 labda Millenium 1”*

    ### Majukumu ya Kazi:

    * Kuhariri na kuboresha maandishi ya kitabu kitaalamu (sarufi, mtiririko, mpangilio wa sura na mantiki ya hoja).
    * Kufanya uhakiki wa kina wa tahajia, alama za uandishi na matumizi sahihi ya lugha.
    * Kushauri maboresho ya maudhui bila kuathiri dhamira ya mwandishi.
    * Kufanya kazi kwa karibu na mwandishi na timu ya uchapishaji hadi kukamilika kwa muswada.

    ### Sifa za Mwombaji:

    * Awe na elimu ya juu katika Fasihi ya Kiswahili, Lugha, Uandishi wa Habari au taaluma inayohusiana.
    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu, makala au machapisho ya kitaaluma.
    * Uwezo mkubwa wa lugha ya Kiswahili; ujuzi wa Kiingereza utakuwa nyongeza.
    * Awe makini, mbunifu, mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa.
    * Uzoefu wa uhariri wa vitabu vya maendeleo binafsi au uchumi utapewa kipaumbele.

    ### Namna ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Mfano wa kazi alizowahi kuhariri (ikiwezekana)

    Maombi yawasilishwe ofisi za Kampuni ya WAJA, Buza – Dar es Salaam au kupitia mawasiliano rasmi ya kampuni.

    Mwisho wa kupokea maombi ni ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo hili.

    **Imetolewa na:**
    Kampuni ya WAJA
    Buza, Dar es Salaam

    *Fursa ni sawa kwa wote wenye sifa.*

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. **TANGAZO LA AJIRA**

    **NAFASI: MHARIRI WA KITABU**

    Kampuni ya WAJA iliyopo Buza, Jijini Dar es Salaam, inatangaza nafasi ya kazi ya **Mhariri wa Kitabu** chenye kichwa cha habari:

    *“Utajiri Hupambaniwa Lakini Umasikini Hupewa Bure hapa Duniani – Utawezaje Kuondoa Umasikini wa Watu Milioni 60 kwa Saa 1 labda Millenium 1”*

    ### Majukumu ya Kazi:

    * Kuhariri na kuboresha maandishi ya kitabu kitaalamu (sarufi, mtiririko, mpangilio wa sura na mantiki ya hoja).
    * Kufanya uhakiki wa kina wa tahajia, alama za uandishi na matumizi sahihi ya lugha.
    * Kushauri maboresho ya maudhui bila kuathiri dhamira ya mwandishi.
    * Kufanya kazi kwa karibu na mwandishi na timu ya uchapishaji hadi kukamilika kwa muswada.

    ### Sifa za Mwombaji:

    * Awe na elimu ya juu katika Fasihi ya Kiswahili, Lugha, Uandishi wa Habari au taaluma inayohusiana.
    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu, makala au machapisho ya kitaaluma.
    * Uwezo mkubwa wa lugha ya Kiswahili; ujuzi wa Kiingereza utakuwa nyongeza.
    * Awe makini, mbunifu, mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa.
    * Uzoefu wa uhariri wa vitabu vya maendeleo binafsi au uchumi utapewa kipaumbele.

    ### Namna ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Mfano wa kazi alizowahi kuhariri (ikiwezekana)

    Maombi yawasilishwe ofisi za Kampuni ya WAJA, Buza – Dar es Salaam au kupitia mawasiliano rasmi ya kampuni.

    Mwisho wa kupokea maombi ni ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo hili.

    **Imetolewa na:**
    Kampuni ya WAJA
    Buza, Dar es Salaam

    *Fursa ni sawa kwa wote wenye sifa.*

  3. **TANGAZO LA AJIRA**

  4. **TANGAZO LA AJIRA**

  5. **TANGAZO LA AJIRA**

  6. **TANGAZO LA AJIRA**

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button