Kikwete ateta na wananchi changamoto Chalinze

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwan Kikwete akizungumza na wananchi wa Mkange Chalinze mkoani Pwani kuhusu hatua mbalimbali zilizofikiwa na serikali katika kutatua changamoto zinazotokana na shughuli za maendeleo ikiwemo miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Halmashauri ya Chalinze.

“Nimetumia nafasi hiyo kuwakumbusha mabadiliko mbalimbali yanayofanyika katika sekta mbalimbali ikiwemo ya Afya, Elimu, Huduma za Jamii, Miundombinu, Maji na Utumishi wa Umma.

Ahadi yetu ni kuendelea kuwatumikia na kutatua changamoto zetu,”

Habari Zifananazo

Back to top button