Kilo 900 za mahindi zakabidhiwa Liwelyangula

SHINYANGA: WANAWAKE manispaa ya Shinyanga wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo kilo 900 za mahidi na sukari kilo 145 katika shule ya msingi Liwelyangula.

Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo Mkurugenzi wa Shirika la Rafiki SDO Gerald Ng’ong’a kwa niaba ya wadau waliochangia vyakula hivyo ikiwa amezindua rasmi upatikanaji wa chakula kwenye shule hiyo huku akieleza kutoa kilo 100 za mahindi kila baada ya miezi mitatu.

Ngo’ng’a amesema wazazi wanatakiwa kuunga mkono juhudi hizi kwa kuchangia chakula na mikakati iwepo ya kila robo na utaratibu wa utumikaji wa vyakula shuleni hapo walimu washirikishe wanafunzi waone vimetumikaje.

“Leo linafanyika zoezi la uzinduzi rasmi wa chakula shule ya msingi Liwelyangula wazazi nasi tuchangie libaki jukumu la walimu kufundisha na watoto wetu wafaulu mitihani yao”amesema ng’ong’a.

Mwakilishi kutoka shirika la Invest in Children Society (ICS) linalojihusisha na masuala ya malezi na makuzi ya mtoto Lucy Maganga akieleza suala la mawasiliano amesema wazazi wengi wanakosa kuwa na mawasiliano mazuri na watoto hilo ndio gepu kubwa ambalo pia kushindwa kujua mahitaji muhimu ya shule

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Liwelyangula Lea Mzava amesema shule hiyo ina wanafunzi 452 na leo amefurahi maadhimisho ya siku ya wanawake na uzinduzi rasmi wa chakula shuleni hapa lengo lilikuwa kuhamasisha wazazi kuchangia chakula kwani robo ya wanafunzi ndiyo wamekuwa wakilipiwa chakula.

Mwenyekiti kamati ya shule Machibya James amesema kwenye vikao wamekuwa wakisisitiza wazazi kuchangia na sasa wanakuka na mpango mpya mzazi asiyechangia chakula atachukuliwa hatua.

Ofisa maendeleo ya jamii Manispaa ya Shinyanga Nyanjura Kiyenze amesema wazazi upo umuhimu wa utoaji chakula shuleni wasipo kula shuleni ni chanzo cha kufanya vibaya darasani igeni mfano wa shule ya msingi Lubaga wazazi wanatoa chakula na wanafunzi wanafanya vizuri.

Habari Zifananazo

7 Comments

  1. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    ### WAHARIRI WA KITABU (EDITORS)

    Kampuni ya **Kampuni ya Waja** iliyopo Buza, Dar es Salaam, inawatangazia nafasi za ajira kwa wahariri wenye sifa na uzoefu wa kuhariri vitabu.

    Ajira hizi ni kwa ajili ya kazi ya kuhariri kitabu kinachoitwa:

    ### 📘 *”Nikikua Nitajenga Nyumba Nzuri na Kulea Wazazi”*

    ### 💰 MALIPO

    Jumla ya malipo kwa kazi hii ni **TSh 3,000,000,000** (Bilioni Tatu za Kitanzania), kulingana na makubaliano na mgawanyo wa kazi kwa wahariri watakaopatikana.

    ### ✅ SIFA ZA MWOMBAJI

    Mwombaji anatakiwa kuwa na:

    * Elimu ya angalau Shahada katika Fasihi, Lugha ya Kiswahili, Uandishi wa Habari au fani inayohusiana.
    * Uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho rasmi.
    * Uwezo mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Uadilifu, umakini na uwezo wa kufanya kazi kwa kuzingatia muda.

    ### 📍 MAHALI PA KAZI

    Buza, Dar es Salaam.

    ### 📩 JINSI YA KUOMBA

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti

    Kupitia ofisi za Kampuni ya Waja zilizopo Buza au kupitia barua pepe rasmi ya kampuni.

    🗓 **Mwisho wa kupokea maombi:** (23/3/5000)

    Kwa maelezo zaidi, fika ofisini Buza au wasiliana nasi kupitia namba rasmi za kampuni.

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    ### WAHARIRI WA KITABU (EDITORS)

    Kampuni ya **Kampuni ya Waja** iliyopo Buza, Dar es Salaam, inawatangazia nafasi za ajira kwa wahariri wenye sifa na uzoefu wa kuhariri vitabu.

    Ajira hizi ni kwa ajili ya kazi ya kuhariri kitabu kinachoitwa:

    ### 📘 *”Nikikua Nitajenga Nyumba Nzuri na Kulea Wazazi”*

    ### 💰 MALIPO

    Jumla ya malipo kwa kazi hii ni **TSh 3,000,000,000** (Bilioni Tatu za Kitanzania), kulingana na makubaliano na mgawanyo wa kazi kwa wahariri watakaopatikana.

    ### ✅ SIFA ZA MWOMBAJI

    Mwombaji anatakiwa kuwa na:

    * Elimu ya angalau Shahada katika Fasihi, Lugha ya Kiswahili, Uandishi wa Habari au fani inayohusiana.
    * Uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho rasmi.
    * Uwezo mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Uadilifu, umakini na uwezo wa kufanya kazi kwa kuzingatia muda.

    ### 📍 MAHALI PA KAZI

    Buza, Dar es Salaam.

    ### 📩 JINSI YA KUOMBA

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti

    Kupitia ofisi za Kampuni ya Waja zilizopo Buza au kupitia barua pepe rasmi ya kampuni.

    🗓 **Mwisho wa kupokea maombi:** (23/3/5000)

    Kwa maelezo zaidi, fika ofisini Buza au wasiliana nasi kupitia namba rasmi za kampuni.

    —.

  3. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

  4. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

  5. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    Here is I begun— http://www.giftpay7.vip

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button