Kombora la Iskander laharibu jengo la serikali Kyiv

KYIV, UKRAINE : MKUU wa Utawala Ofisi ya Rais Ukraine, Andriy Yermak, amesema shambulio lililolenga jengo la serikali mjini Kyiv mwishoni mwa wiki lilikuwa la kwanza la aina hiyo tangu vita vya Ukraine kuanza zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
Yermak alibainisha kuwa kombora la aina ya Iskander ndilo lililotumika kushambulia jengo hilo. Shambulio hilo ni sehemu ya wimbi kubwa zaidi la mashambulio ya droni na makombora lililoshuhudiwa tangu Februari 2022.
Takriban mita za mraba 900 za jengo hilo zimeathirika, huku moto mkubwa ukienea kwa kasi.Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Ukraine, Katarina Mathernova, aliyetembelea eneo la tukio, amesema jengo lingeharibiwa kabisa iwapo kombora lingelipuka kikamilifu.
Baada ya shambulio hilo, Ukraine imeongeza wito kwa washirika wake wa kimataifa kuongeza vikwazo dhidi ya Moscow, huku ripoti zikieleza kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. SOMA: Jengo la serikali lashambuliwa Kyiv
Google pays $300 on a regular basis. My latest salary check was $8600 for working 10 hours a week on the internet. My younger sibling has been averaging $19k for the last few months, and he constantly works approximately 24 hours. I’m not sure how simple it was once I checked it out.
This is my main concern………………. http://Www.Cash43.Com