Kumekucha jogoo limewika Dodoma!

DODOMA; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dodoma leo Julai 28, 2025.