Maddison achezaji bora Agosti

KIUNGO wa Tottenham Spurs, James Maddison amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu England.

Advertisement
2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *