ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Yanga, Iman Omary Madega amefariki dunia leo Februari 10, 2024.
Taarifa zinaeleza Madege amefia nyumbani kwake Chalinze mkoani Pwani.
Madega aliiongoza Yanga mwaka 2006 mpaka 2010 na kumuachia nafasi hiyo Francis Kifukwe. Advertisement