Madereva wa ‘mikoani’ wanapotea njia hapa!

MBEYA ; ENEO la makutano ya barabara nne lililopo jirani na Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, limekuwa likilalamikiwa na madereva wageni mkoani Mbeya, hasa wale wa malori yanayoenda wlayani Chunya, au mikoa jirani ya Tabora na Singida, ambao hujikuta wamejichanganya njia kutokana na kutokuwepo alama inayoonesha uelekeo. (Picha na Joachim Nyambo).




