Madiwani Kigoma Ujiji wacharuka ubovu wa barabara

MADIWANI katika Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji mkoani Kigoma wameitaka Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) kuboresha barabaraa za manispaa hiyo na kujengwa kwa kiwango cha lami ili kuchochea shughuli za biashara na uchumi za wananchi.

Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani, Diwani wa Kata ya Businde, Masudi Kassim amesema barabara nyingi ambazo zilijengwa kwa kiwango cha changarawe zimeharibika kwa mvua na sasa hali ya usafirishaji bidhaa ni ngumu na gharama kubwa hivyo TARURA ifanye jitihada kuhakikisha barabara hizo zinarekebishwa.
Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Buhanda, Edward Misigaro, amesema baadhi ya miradi ya barabara inayotekelezwa kwa awamu imechukua muda mrefu kukamilika ukiwemo mradi wa uboreshaji wa miundo mbinu ya miji (TACTIC) kwa kiwango cha lami hivyo kusababisha kutofanyika kwa miradi mingine jambo linaloendelea kuwaumiza wananchi.
Akizungumzia kauli za madiwani hao, Meneja wa TARURA Wilaya ya Kigoma, Elias Mtapima, amesema asilimia kubwa ya barabara za mitaa katika manispaa hiyo zinahitaji maboresho makubwa, lakini changamoto kubwa inayokabili utekelezaji wa miradi hiyo ni ukomo wa bajeti.

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Kisena Mabuba, amesema juhudi zinaendelea kufanyika katika kuandaa maandiko ya miradi mbalimbali ya miundombinu, ikiwemo barabara na mifereji ya maji ya mvua ili kuhakikisha manispaa hiyo inapata ufadhili wa kutosha kwa ajili ya utekelezaji wake.




I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link…
Try it, you won’t regret it!….. http://www.hot.cash54.com
I just came across this amazing way to earn $6,000-$8,000 a week online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
Follow Here ……………………… https://Www.Cash54.Com
I am making a real GOOD MONEY (300$ to 400$ / hr )online from my laptop. Last month I GOT check of nearly 18,000$, this online work is simple and straightforward, don’t have to go OFFICE, Its home online job. At that point this work opportunity is for you.if you interested.simply give it a shot on the accompanying site….Simply go to the BELOW SITE and start your work…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com