Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 28 amekuwa na mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dk Suzan Kaganda (kulia), kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)