Majaliwa atembelea ubalozi wa Tanzania UAE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25, 2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abu dhabi.

Majaliwa amepokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohamed na watumishi wa ubalozi huo.



