Majaliwa azindua mitambo ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

WAZIRI Mku Kassim Majaliwa leo Juni 24, 2025 amezindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti kwa wachimbaji wadogo kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.
Utoaji wa mitambo hiyo ni utekelezaji wa maono na msukumo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwawezesha wachimbaji wadogo kutokana na mchango wao katika kuzalisha ajira, kuboresha kipato cha mtu mmoja mmoja na kukuza uchumi wa Taifa.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button