Makamu wa Rais Z’bar ziarani Tanga

TANGA; Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Hemed Suleiman Abdulla amewasili leo mkoani Tanga kwa ziara ya siku tano kuimarisha uhai wa chama.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mkoani Tanga, akiwa mkoani humo anatarajia kutembelea wilaya nane zilizopo mkoani Tanga kwa kufanya mikutano ya ndani ikiwemo kuzungumza na viongozi wa mashina na matawi wa chama hicho.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button