Mambo ya Msuva Afcon hayo!

MOROCCO; Simon Msuva mfungaji wa bao la Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo dhidi ya Uganda (The Cranes) uliofanyika Desemba 27, 2025 fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akishangilia bao hilo. Timu hizo zilifungana bao 1-1.

Bao la Tanzania lilifungwa na Msuva dakika ya 59 na Uganda lilifungwa dakika ya 80 na Uche Ikpeazu. (Picha kwa hisani ya TFF).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button