Mambo yalivyokuwa kupatwa kwa mwezi leo

DAR ES SALAAM; WANANCHI wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na mikoa mingine ya Tanzania, kuanzia jioni ya leo Septemba 7, 2025, hadi usiku huu, wameshuhudia hatua kwa hatua tukio la kupatwa kwa mwezi, ambalo pia limeshuhudiwa na maeneo mbalimbali duniani.

Tangu jana Daily News Digital iliweka video fupi za mtaalamu wa  Astronomia,  Dk Noorali Jiwaji ambaye alieleza dhana nzima ya kupatwa kwa mwezi inavyokuwa wakati akifanya mahojiano na mitandao yetu. Fuatilia mahojiano hayo uelewe kwa undani kuhusu tukio hilo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button