Mambo yanaendelea vikao CCM

DODOMA; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi  wa wagombea  ubunge wa Bunge la Tanzania,Wabunge wa Viti Maalumu,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button