Rais wa Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo Oktoba 12.
Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiwasalimia na kuzungumza na wananchi wa Pasiansi, Ilemela mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza leo Oktoba 12.
Wananchi wa Pasiansi Ilemela Mkoani Mwanza wamejitokeza kumsalimia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza leo Oktoba 12