Masoud aahidi kutatua tatizo la ajira

ZANZIBAR: MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Act Wazalendo Othman Masoud Othman akienda kutafuta kura katika Kisiwa kidogo cha Kojani Mkoa wa Kaskazini Pemba ambapo ameahidi kutatua tatizo la ajira endapo atachaguliwa kuwa Rais Oktoba 29, mwaka huu.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button