Matukio mbalimbali kuwaaga waliopata ajira nje ya nchi

DAR ES SALAAM; PICHA za matukio mbalimbali wakati wa hafla ya kuwaaga vijana 109 waliomaliza mafunzo ya muda mfupi ya ajira za nje ya nchi, ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu Januari 8, 2026.

Vijana hao watakwenda kufanya kazi za ufundi umeme, ujenzi, madereva wa malori ya mizigo, wahudumu wa maabara, wasaidizi wa kazi za ndani na maofisa kilimo katika nchi za Oman, Denmark, Saudi Arabia, Qatar na Falme za Kiarabu (UAE).

Kutokana na vijana hao 109 wa Tanzania ajira za nje ya nchi, kunafanya idadi ya vijana waliopata ajira kuanzia Desemba 2025 hadi Januari 2026 kufikia 1,432.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button