Matukio mbalimbali mechi ya Taifa Stars Afcon

MOROCCO;MOROCCO; PICHA za matukio mbalimbali mchezo wa Kundi C fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kati ya Uganda (The Cranes) dhidi ya Tanzania (Taifa Stars) uliochezwa usiku wa Desemba 27, 2025 na timu hizo kufungana bao 1-1.

Bao la Tanzania lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 59 na Uganda lilifungwa dakika ya 80 na Uche Ikpeazu. (Picha kwa hisani ya TFF).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button