Mazungumzo ya nyuklia Iran yapwaya

GENEVA : MAZUNGUMZO ya nyuklia kati ya Iran na mataifa ya Ulaya,Ujerumani, Uingereza na Ufaransa yamehitimishwa mjini Geneva bila makubaliano. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Ismail Baghai, amesema pande hizo zilibadilishana maoni lakini hazikupiga hatua.

Mataifa ya Ulaya yametishia kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa iwapo suluhisho halitapatikana kufikia mwishoni mwa Agosti huku Iran ikikosoa vitisho hivyo. SOMA: Iran kuendeleza mazungumzo IAEA

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button