Mbosso kunogesha kampeni za Manara Kariakoo leo

DAR ES SALAAM : MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ leo Oktoba 27, 2025, anatarajia kunogesha ufungaji wa kampeni wa mgombea udiwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara.
Akizungumza na Daily News Digital, Manara amesema mkutano wa kufunga kampeni utafanyika makutano ya mitaa ya Msimbazi na Jangwani, Dar es Salaam na kwamba wadau mbalimbali watakuwepo.

Amewataja baadhi ya waalikwa wengine maarufu ni Waziri wa Mifugo, Abdallah Ulega, Naibu Spika, Mussa Azzan ‘Zungu’ na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoaw wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu kusisitiza kuwa mkutano huo utakuwa wa aina yake.




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com