Mchekeshaji Mr Ibu Afariki Dunia

Mr Ibu

LAGOS, Nigeria: Mchekeshaji na Mwigizaji mkongwe kutoka Nollywood, John Okafor ama Mr Ibu, amefariki dunia usiku huu akiwa na umri wa miaka 62.*

Kulingana na ripoti nyingi kutoka kwa vyanzo vilivyo karibu naye, mchekeshajii huyo aliaga dunia katika hospitali ya Evercare alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mashabiki wengi wametuma salamu za rambirambi kwenye X, wakikumbusha sinema ambazo marehemu alishiriki.

Advertisement