Mfanyabiashara Geita auawa na walinzi dukani kwake

MFANYABIASHARA wa vifaa vya pikipiki katika eneo la mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita, Alex Mayaya (40) ameuwawa kwa kupigwa na walinzi dukani kwake waliodhania kuwa ni mwizi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Safia Jongo amethibitisha taarifa hiyo na kueleza tukio lilitokea usiku wa kuamukia siku ya jumatatu ya Novemba 6, 2023.
Amesema Mayaya ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni shabiki wa timu ya Yanga na baada ya ushindi dhidi ya watani zao Simba alishangilia kwa kulewa na marafiki na kisha akarejea dukani kwake.
“Baada ya ushindi ule wa Yanga alishangilia kupita kiasi na akanywa pombe za kupita kiasi, baada ya kunywa zile pombe akaenda kwenye duka lake lililopo eneo la Kilimahewa, Katoro wilaya ya Geita”
“Alifungua hilo duka akachukua matairi mawili ya pikipiki kwani huyo mfanyabiashara alikuwa anauza spea za pikipiki lakini kwa bahati mbaya hilo duka linaendeshwa na kijana wake”
“Kwa hiyo wale walinzi hawamfahamu vizuri kwa hiyo wakahisi ni mwizi kwa hiyo baada ya kuhisi ni mwizi walimukamata, ambapo walipomkamata walimshambulia kwa kumpiga na rungu.”
Ameeleza kipigo kile cha rungu kiligusa eneo la mshipa mkubwa wa damu hali iliyopelekea maumivu makali kwa mfanyabiashara na ilipofika asubuhi ya Novemba 6, 2023 ikapelekea kifo chake.
“Kulipokucha wananchi wanaomfahamu wakagundua yule siyo mwizi, isipokuwa ni mwenyeduka, kwa hiyo wakampeleka kituoni akapewa PF3, lakini alipofikishwa hospitali alifariki muda mfupi baadaye.
I get paid more than $140 to $170 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this (Qk)I have earned easily $25k from this without having online working skills . Simply give it a shot on the accompanying site…
.
.
.
Here is I started.…………>> http://Www.Smartcareer1.com
Everybody can earn 500 dollars daily. Yes! you can earn more than you think by working online from home. I have been doing this job for like a few weeks and my last week payment was exactly 30,000 dollars.
.
.
Detail Here—————————————————————>>> http://Www.BizWork1.Com
I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com