Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria

SHINYANGA: Mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kulwa Malale amesema Msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aid alivyoelezwa na kupewa ushauri amefarijika na kufurahi sana.

Akizungumza na HabariLeo Malale alieleza mgogoro wa ardhi uliopo ulianza rasmi mwaka jana baada ya kudai eneo kuuzwa mara mbili.

“Nimeendesha kesi tangu mwaka jana (2025) na mpaka sasa nimetumia shilingi Milioni 3.6 katika kutafuta haki kwa ushauri niliopewa kwenye kampeni ya msaada wa kisheria nimefarijika mno,”amesema Malale.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button