Makamu wa Dk. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria kwa Miji ya Sikonge, Urambo na Kaliua unaogharimu shs bilioni 143.2 wakati wa ziara ya kikazi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora leo Oktoba 11.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)