Msichague viongozi wa makandokando

TANGA : Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kuweka wagombea ambao hawana makando kando.

Akiongea na wanachama wa CCM Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Makamu wa wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman  amesema lazima wanachama wa CCM  wazingatie kuchagua viongozi bora na wanaokubalika.

“Ili kuepusha chama kuingia kwenye migogoro basi wakati huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa basi wekeni viongozi ambao wanakubalika katika jamii”amesema Abdulla.

SOMA:   SMZ kuja na boti za mwendokasi

Habari Zifananazo

Back to top button