Mtoko upi mtamu Simba?

DAR ES SALAAM; Simba ya Dar es Salaam leo Agosti 31, 2025 imezindua rasmi jezi zao za msimu wa mwaka 2025/26, mgeni rasmi akiwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa. Vijana wa mjini wanasema huo ndiyo mtoko wa Simba. Je wewe umeona mtoko upi mtamu zaidi?




