Muhudumu wa Baa jela miaka 30 kwa kunajisi denti

SHINYANGA; Kahama. MAHAKAMA ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imemhukumu Bakari Zacharia (23) mkazi wa Nyasubi kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumnajisi mwanafunzi wa kidato cha pili anayesoma shule ya sekondari Nyasubi., mwenye umri wa miaka 15.
Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Christina Chovenye, ametoa hukumu hiyo leo na kwamba mtuhumiwa alikuwa Muhudumu wa Baa iitwayo Meru Garden, ambapo alikamatwa Julai 27,2023 akiwa na mwanafunzi huyo akimuweka kinyumba.
Katika hukumu yake, Hakimu Chovenye amesema Bakari alikutwa na hatia baada ya kuishi na binti huyo kwa kipindi cha mwezi mmoja, ingawa katika utetezi wake alikana kumfahamu binti huyo na kwamba hajawahi kumuona.
Hakimu Chovenye amesema daktari alithibitisha kuingiliwa kimwili mwanafunzi huyo mara kwa mara na mwanafunzi alikiri kuishi kiunyumba na mtuhumiwa na kumuita ni mume wake.
Mwanafunzi huyo katika maelezo yake amesema walikuwa wanafahamiana na kukubaliana waoane na kuanza kuishi wote, ingawa wakati kesi inaendelea binti alifanya jaribio la kujiua kwa kunywa sumu, ambapo ndugu walimuwahi na alitoa ushahidi wake mahakamani.
Making an extra $15,000 per month from home by performing simple internet copy and paste jobs. This basic at-home job paid me $18,000 each year. Everyone may now easily make extra money online.
.
.
Detail Here————————————————————>>> http://Www.BizWork1.Com
I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com
in just 5 weeks, I worked part-time from my apartment and earned $30,030. After losing my previous business, I quickly became exhausted. Fortunately, I discovered this jobs online, and as a result, I was able to start earning money from home right away. Anyone can accomplish this elite career and increase their internet income by….
After reading this article:…… http://Www.Smartcash1.com