Mwenge wapongeza ujenzi barabara Marahala–MSD

KAGERA: MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026 zimepongeza ujenzi wa Barabara ya Marahala–MSD yenye urefu wa kilomita 0.49 iliyojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Muleba, mkoani Kagera.
Barabara hiyo inatarajiwa kurahisisha mawasiliano na usafirishaji kati ya wananchi wa vijiji vya Magata, Nshamba, Muleba Mjini na Hospitali ya Wilaya ya Muleba, pamoja na kurahisisha shughuli mbalimbali za kiuchumi katika maeneo hayo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Wazo Michael Mwang’onda, amepongeza ubunifu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuhakikisha wananchi wa Wilaya ya Muleba wanaendelea kunufaika na miundombinu bora ya barabara.

Mwang’onda amesema Serikali itaendelea kutekeleza miradi ya barabara katika maeneo ya vijijini kwa lengo la kurahisisha mawasiliano, biashara na shughuli za kiuchumi, huku akiwataka wananchi kutumia fursa zinazotokana na miradi hiyo kuimarisha maisha na kuinua uchumi wao.
Kwa upande wake, Meneja wa TARURA Wilaya ya Muleba, Dativa Semforini, amesema barabara hiyo imekamilika kwa asilimia 100 na imewekewa taa za barabarani, hatua inayowawezesha wananchi kuendelea na shughuli zao za kibiashara hadi nyakati za usiku.

Amesema ujenzi wa barabara hiyo pia umerahisisha utoaji wa huduma katika Bohari ya Dawa (MSD), ambayo hapo awali ilikuwa ikikabiliwa na changamoto kutokana na magari makubwa yanayofanya shughuli za usafirishaji katika bohari hiyo.

Mmoja wa wananchi wanaotumia barabara hiyo, Self Mzamiri, amesema Serikali imetatua changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa barabara yenye kiwango cha lami katika eneo hilo.
Amesema tangu barabara hiyo iwekwe lami, wamekuwa wakishuhudia kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muleba, ambayo kwa sasa imekamilika.

Ameongeza kuwa uwepo wa barabara hiyo utarahisisha shughuli za afya, biashara, upatikanaji wa masoko pamoja na mahitaji mengine ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wa maeneo yanayozunguka barabara hiyo.




I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills. This is what I do….. http://www.work27.info
AMBANDIKA
Custom Modern European Style Panel Furniture Company
We are a professional manufacturer specializing in custom modern European style panel furniture, delivering high-quality, functional,
and aesthetic interior solutions for residential, hospitality, and commercial spaces worldwide.
Who We Are
We are a dedicated furniture manufacturing company focused on innovation, precision engineering,
and modern European-inspired design.
With years of experience in the industry, we provide complete solutions from design concept to production and installation for global projects.
What We Do
We specialize in:
Custom panel furniture design and manufacturing
Modern European style interior solutions
Modular furniture systems for flexible spaces
Built-in wardrobes, cabinets, and storage systems
Hotel, apartment, and residential furniture projects
Our Philosophy
We believe furniture should be:
Functional and space-efficient
Aesthetically modern and timeless
Durable and sustainably produced
Fully customized for each project
Our Manufacturing Strength
Advanced production facilities
Precision CNC cutting technology
Strict quality control system
Skilled design and engineering team
Export-ready global supply capability
Where We Work
We serve a wide range of industries:
Residential homes and villas
Serviced apartments
Hotels and hospitality projects
Commercial and office interiors
Real estate development projects
Why Choose Us
Custom design tailored to project needs
European-inspired modern aesthetics
Factory-direct pricing advantage
Reliable large-scale production capability
Global shipping and project support
Our Vision
To become a leading global supplier of modern European style panel
furniture, delivering innovative and sustainable interior
solutions for the future of living and hospitality design.
Let’s build something exceptional together.
Contact us today to discuss your custom furniture project and receive a professional design proposal.