Nabi ataka ushindi dhidi ya Rivers United

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema wamejipanga kuhakikisha wanashinda mchezo wa kesho ili kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika Caf.

buy amaryl online https://www.actonvet.com/files/png/amaryl.html no prescription pharmacy
buy inderal online https://www.cardiovirginia.com/image/jpg/inderal.html no prescription pharmacy

Akizungumza na wanahabari leo Aprili 29, 2023 kocha huyo amesema pamoja na ushindi walioupata ugenini wiki iliyopita lakini wanapaswa kuwa makini katika mchezo huo ili kutimiza malengo yao.

buy clomiphene online https://www.cardiovirginia.com/image/jpg/clomiphene.html no prescription pharmacy

“Nimezungumza na wachezaji wangu kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Rivers United na nimewaeleza kuwa ushindi tulioupata Nigeria utakuwa hauna maana kama tutapoteza mchezo wa kesho tunapaswa kucheza kwa kujituma kama vile tulipoteza mchezo wa kwanza,” amesema Nabi.

buy ventolin online https://www.cardiovirginia.com/image/jpg/ventolin.html no prescription pharmacy

Katika mchezo huo Yanga inahitaji sare tu ili kuweka historia yakuwa timu ya kwanza Tanzania kufika hatua hiyo kwenye michuano ya Caf.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button