Nandy avunja ukimya kuhusu ndoa yake

MTANDAONI: MSANII nyota wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga maarufu kama Nandy, amevunja ukimya kufuatia tetesi za mgogoro katika ndoa yake na William Lyimo ‘Billnass’.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Nandy amesema ni kawaida kwa wanandoa kukutana na changamoto mbalimbali, lakini amesisitiza kuwa matatizo hayo hayahusiani na wanawake kama baadhi ya watu walivyodai.
“Hey, na-apriciate wote mlionipa ushauri wa hapa na pale, but let me make it clear. Mume wangu hata tugombane vipi, ugomvi wetu hauwi wa suala la wanawake. Hana wanawake na sijawahi kumuona na wanawake! Kupishana kupo kwa vitu vingi,” ameandika Nandy.
Ameongeza kuwa si kila changamoto katika ndoa inatokana na usaliti wa kimapenzi, akisisitiza: “Sio kila kesi ni wanawake. No guys, hatujafika huko kwenye hii ndoa. Thank you tho, nawapenda.” SOMA: Ndoa ya Nandy,Billnass bado kitendawili
Google paid $220 an hour on the internet. My close relative has been without labor for nine months and the earlier month her compensation check was 25k by working at home for 10 hours a day….. Everybody must try this job now by just use this link
COPY THIS→→→→ http://Www.Work99.Site