Neema imefunguliwa Daraja la JP Magufuli

MWANZA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akifungua Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza leo Juni 19, 2025.

Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button