Palestina yaomba kuanzisha kituo cha michezo Dar

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali Oktoba 19, 2023 jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, Dk Ndumbaro amepokea maombi ya Palestina kupitia balozi huyo, kuanzisha Kituo cha Michezo jijini Dar es Salaam na kuahidi kulifanyia kazi mapema iwezekanavyo.

buy ivermectin online www.jsdental.com/old/images/jpg/ivermectin.html no prescription pharmacy

Balozi Hamdi amewasilisha ombi hilo akieleza kuwa nchi hiyo ina ushirikiano wa muda mrefu na Tanzania katika nyanja mbalimbal, ikiwemo utamaduni na michezo, hivyo kituo hicho kitakua na umuhimu kwa nchi mbili hizo katika kukuza michezo.

buy lariam online www.jsdental.com/old/images/jpg/lariam.html no prescription pharmacy

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button