Picha: Maandalizi kupokea mwili wa Dk Ndugulile

DAR ES SALAAM :Gari litakalobeba mwili wa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani ((WHO) Kanda ya Afrika na Mbunge wa Kigamboni, hayati Dk Faustine Ndugulile limewasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kwa ajili ya kubeba mwili huo kuupeleka Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam .



