Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Samia Tanga

TANGA; Picha za matukio mbalimbali ya ziara ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan inayoendelea mkoani Tanga. (Picha zote na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga Februari 25, 2025.
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga Februari 24, 2025.
Rais Dk Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchikwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga Februari 24, 2025.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button