Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Wasira Kahama

SHINYANGA; Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira mjini Kahama mkoani Shinyanga Machi 27, 2025.

Sehemu ya umati wa wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira akizungumza kwenye mkutano huo.

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button