Picha: Matukio sherehe za Mapinduzi leo

ZANZIBAR: Matukio mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo Januari 12, 2025 (Picha zote na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).

Advertisement