Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar mara baada ya kuhitimisha ziara yake leo tarehe 04 July, 2024.(Picha: Ikulu Mawasiliano)