Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenyemaadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo leo Novemba 29, 2024.
ARUSHA – Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Novemba 29, 2024.