Picha: Samia ateta na Makamu Mwenyekiti Benki ya Dunia

DODOMA; Rais wa  Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, Victoria Kwakwa, leo Machi 17, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Kwakwa alifika Ikulu kuaga rasmi baada ya kustaafu kufanya kazi Benki ya Dunia kwa muda wa miaka 35. Kwa upande wake Rais Samia amemshukuru kwa ushirikiano aliouonesha kwa Tanzania kwa muda wote wa uongozi wake.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button