Picha: Ziara ya Rais Samia Tanga

TANGA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya yaBumbuli katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga leo Februari 24, 2025. (Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).




