Picha:Matukio bonanza la Ubaya Ubwela

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali kwenye bonanza lililoandaliwa na klabu ya Simba ya Dar ea Salaam ‘Bonanza la Ubaya Ubwela’ kwenye viwanja vya Mwembayanga, Temeke, ikiwa ni kuelekea tamasha la Simba itakalofanyika Agosti 3, 2024 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. (Picha na mtandao wa Simba).

 

Advertisement