Pilato Simba, Yanga huyu hapa

KUELEKEA mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga inayotarajiwa kupigwa kesho Novemba 5, 2023 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa  Dar es Salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limewataja marefa wanne watakaochezesha mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Ofisa Habari Bodi ya Ligi, Karimu Boimanda amewataja marefa hao kuwa Ahmed Arajiga kutoka Manyara ndiye atakuwa mwamuzi wa kati na Mohamed Mkono kutoka Tanga atakuwa mwamuzi msaidizi namba moja huku Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam akiwa mwamuzi namba mbili.

Wengine ni Ramadhani Kayoko maarufu kwa jina la Etugru ambaye naye anatoka Dar es Salaam yeye atakuwa refa wa akiba huku Kamishna wa mechi hiyo inayotarajiwa kuanza majira ya saa 11 akitajwa Hosea Lugano kutoka Lindi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Wandaeay
Wandaeay
28 days ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 28 days ago by Wandaeay
Julia
Julia
28 days ago

Mike, great work. I applaud your efforts enormously because I presently make more than $36,000 each month from just one straightforward online company! You may begin creating a steady online income with as little as $29,000, and these are only the most basic internet operations jobs.
.
.
Detail Here——————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x