Polisi yaokota miili 4 Handeni

TANGA; Jeshi la Polisi mkoani Tanga limeokota miili ya watu wanne ,wakiwemo wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema kuwa kati ya miili hiyo, pia upo mwili wa Benard Masaka (43), mfanyabiashara wa nyama, ambaye mapema mwezi huu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kutoweka kwake.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button